Imekuwa ni jambo la kushangaza wengi baada ya Donald Trump kushinda kiti cha urais wa marekani na hivyo kuwa raisi wa 45 wa nchi hiyo. Donald ameshinda kwa viti 278 na kumuacha mpinzani wake Hillary Clinton na viti 218. Macho na maskio kwa watu nikutaka kujua kama Trump atatimiza ahadi zake alizoahidi wakati wa kampaini ambazo zinashutumiwa kuwa za kiuchochezi na ubaguzi wa rangi na hata dini. Ushindi wake umeshangaza Dunia nzima na kuitikisa pia kwani watu wengi walingoja kwa hamu kujua kama nani ataibuka mshindi wa kiny'ang'anyiro hicho.
Wednesday, November 9, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)
Polisi 6 wakamatwa kufuatia kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwiline Tanzania
Maafisa sita wa polisi wamekamatwa kuhusiana na kifo cha mwanafunzi wa chuo cha kitaifa cha usafirishaji Akwilina Akweline. Hayo ni k...

-
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge amejiunga kunako timu ya West Bromwich Albion kwa mkopo.
-
Pierre-Emerick Aubameyang sasa ni mchezaji wa Arsenal, klabu hiyo ya London imetangaza hili. Aubameyang ametia saini mkataba wa ...